Huwezi kusikiliza tena

Nelson Mandela:Yanayojiri Afrika Kusini

Hizi ni picha za moja kwa moja kutoka nchini Afrika Kusini kuhusu mambo yanavyojiri watu wakiomboleza kifo cha Mandela. Je upo Afrika Kusini? unaweza kuwasiliana nasi kwenye mtandao wetu wa facebook, bbcswahili kutupasha hali ilivyo