Huwezi kusikiliza tena

Hisia za wananchi kumhusu Mandela

Wengi walimuenzi , walimuita shujaa na jasiri na zaidi ya yote wanamuita mkombozi wao.Wewe utamkumbuka vipi Mandela?