Huwezi kusikiliza tena

Mazishi ya Mandela Qunu

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu, katika mkoa wa Cape Mashariki.

Maelfu ya waombolezaji walihudhuria mazishi hayo ikiwemo viongozi wa kisiasa na maafisa kadhaa wa kidiplomasia.