Huwezi kusikiliza tena

Hamu ya kuona mwili wa Mandela

Melfu ya watu walitizama huku jeneza la Mandela likipita katika barabara za Qunu. Mwandishi wa BBC Nomsa Maseko alikuwa na baadhi yao wakisubiri kando ya barabara angalau kutupia jicho jeneza la Mandela.