Huwezi kusikiliza tena

Nandi Mandela asimulia babu yake

Nandi Mandela ni mjukuu mkubwa wa Hayati Mandela . Anasema babu yake aliwashirikisha kwa kila kitu alichokuwa nacho na alihudumia familia yake, ambayo ilikuwa na ndugu wa mbali.