Huwezi kusikiliza tena

Kwaheri Tata Mandela

Jeneza la Mandela ambalo lilikuwa limefunikwa kwa bendera ya Afrika Kusini lilishukishwa kwenye kaburi lake nyumbani kwao katika mkoa wa Cape Mashariki kijiji cha Qunu.

Karibu watu 4,500 walifika kwenye mazishi hayo ikiwemo familia, jamaa, marafiki na viongozi wa dunia waliofika kijijini Qunu ambako Mandela alikulia.

Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.