Raia wa Afrika Kusini katika maombolezi
Huwezi kusikiliza tena

Mila za Afrika kusini katika mazishi

Kila watu wana taratibu zao za kushughulikia msiba wa jamaa yao anapofariki dunia. Nchini Afrika Kusini kuna mengi yaliyojitokeza, lakini zaidi ni shamrashamra zisizo kifani. Mwandishi wetu Zuhura Yunus akiwa Johannesburg amechakura chakura na kutuandalia taarifa ifuatayo namna Waafrika Kusini wanavyo omboleza msiba wa rais wa kwanza mzalendo wa nchi hiyo ambaye pia ni kioo cha dunia Nelson Mandela.