Huwezi kusikiliza tena

Baada ya mapinduzi Zanzibar

Katika mfululizo wa matangazo yetu maalamu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo tunaangazia maisha ya raia wa visiwa hivyo baada ya Mapinduzi hayo.

Je hali ikoje kwa sasa baada ya mapinduzi hayo? Mwandishi wa BBC John Solombi alitembelea visiwa hivyo.