Huwezi kusikiliza tena

Zuhura Yunus akukaribisha Forodhani

Wakati huu wa vuguvugu la sherehe za mapinduzi Zanzibar kuna eneo moja maarufu ambalo kama ukienda Unguja hujafika hapo basi unakosa mengi. Ni Forodhani maarufu Foro, kuna nini? Zuhura Yunus anatupeleka huko