Huwezi kusikiliza tena

7 wauawa kwenye mgogoro wa ardhi TZ

Watu saba wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mapigano kati ya wakulima na wafugaji mkoani Manyara kaskazini mwa Tanzania.

Mapigano hayo yamesababishwa na mgogoro wa ardhi kati ya jamii hizo, sababu ikielezwa kuwa ni uvamizi wa jamii ya wakulima katika msitu wa hifadhi ya jamii.

Bwana Akili Mpwapwa ni kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara