Huwezi kusikiliza tena

Katiba mpya yanukia Misri

Wapiga kura nchini Misri wanaigia kura ya maamuzi rasimu ya katiba mpya. Shughuli hii itandelea kwa siku mbili zijazo.

Wanaounga mkono rasimu hiyo ya katiba wanasema kuwa itaimarisha demokrasia katika siku za usoni.

Rasimu hiyo pia inahakiki haki za makundi yanayobaguliwa kama Wakristo, mbali na kudhibiti mamlaka ya jeshi ikiwemo hali ya raia kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi.

Katiba hii italeta mabadiliko yapi?