Huwezi kusikiliza tena

Elimu hatarini Sudan Kusini

Mzozo wa Sudan Kusini umeonekana kuathiri sana rika la vijana. Umeingilia mitihani yao ya mwezi Desemba.

Lakini kwa wiki hii wanafunzi wa shule ya msingi hatimaye wamepata kufanya mitihani yao katika eneo maalum la Umoja wa Mataifa mjini Juba, ambapo maelfu ya watu wamekimbilia kupata hifadhi kutokana na vurugu.

Zuhura Yunus anaarifu zaidi.