Huwezi kusikiliza tena

Google yaingia majumbani

Kampuni ya Google imetoa kiasi cha dola billion 3 nukta mbili kwa kampuni ya Nest ambayo imekuwa ikitengeneza vifaa vya majumbani. Nest ni kampuni ambayo imekuwa ikitengeneza vifaa cha kurekebisha kiwango cha joto.

Hatua hii inaifanya kampuni ya Google kuingia katika ukurasa wa mtandao wa vitu ambayo ni ahadi yake ya muda mrefu kuboresha mazingira ya nyumbani na kuzifanya kuwa zenye mvuto Zaidi.Hizi hapa taarifa za teknolojia wiki hii