Huwezi kusikiliza tena

Hali ya miundombinu Tanzania

Tanzania imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha Miundombinu yake hasa ya Barabara nchini humo.

Ni kwa kiwango gani uboreshwaji huu umewasaidia wananchi wa Tanzania?

Haba na Haba Tv ilifika mkoani Kigoma ikikuletea simulizi hii ya barabarani!