Huwezi kusikiliza tena

Morsi kufika mahakamani Misri

Haki miliki ya picha AP
Image caption Mohammed Morsi alipinduliwa madarakani Misri

Kesi dhidi ya rais aliyepinduliwa nchini Misri, Mohammed Morsi, itaendelea leo nchini humo.

Morsi anashatakiwa kwa kosa la mauaji na kuchochea mauaji.

Misri imeendelea kukumbwa na misuko suko ya kisiasa kuhusu uhalali wa serikali iliyochukua madaraka baada ya rais Hosni Mubarak aliyechaguliwa kidemokraisia, kupunduliwa.

Maryam Dodo Abdalla amezungumza na Ismael Mafume ambaye ni mwandishi wa habari Cairo anayefualitia kesi hii.

Alianza kwa kueleza yaliotukia katika kikao cha mahakama katika mji mkuu Cairo.