Huwezi kusikiliza tena

Mchezo wa Raga majini

Je ushawahi kusikia kuhusu mchezo wa Rugby unaochezewa majini? Mwandishi wa BBC Salim Kikeke anakusimulia ambavyo mchezo huu huchezwa.