Huwezi kusikiliza tena

Saratani na matibabu TZ

Tatizo la Ugonjwa wa Saratani linaeonekana kukithiri nchini Tanzania.

Wakati shirika la afya duniani likitahadharisha kuwa ugonjwa wa Saratani unaongezeka kwa kasi , nchini Tanzania baadhi ya mambo yanayowakumba wagonjwa ni unyanyapaa na dhana potofu kuhusu Saratani miongoni mwa wasio waathiriwa.

Shirika la afya duniani WHO limesema nusu ya maradhi ya Saratani yanaweza kuzuilika kama watu watapunguza uzito wa mwili, unywaji wa pombe na kuvuta sigara.

Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau, anaeleza zaidi kuhusu ugonjwa huo nchini Tanzania akiwa mjini Dar es Salaam