Huwezi kusikiliza tena

Kanisa na Vilabu vyakomeshwa DRC

Serikali ya mkoa wa Kinshasa imechukua hatua ya kupiga marufuku kelele za muziki, kutoka kwa watu wanaokesha usiku kucha kanisani, na pia wale wanaokesha kwenye vilabu vya burudani.

Msemaji wa serikali hiyo ya mkoa alitoa amri kwa polisi kuanzisha msako katika sehemu zote za mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, mji wenye umaarufu wake kwa starehe.

Lubunga Byaombe anaarifu kutoka Kinshasa