Huwezi kusikiliza tena

Buriani Komla Dumor

Rafiki yetu na mwenzetu Komla Dumor amezikwa katika mji mkuu wa Ghana, Accra.Maombolezo rasmi yalifanyika kwa zaidi ya siku tatu kuanzia Ijumaa mpaka Jumapili, wakidumisha mila za Ghana.Komla ambaye alikuwa mtangazaji mkuu wa matangazo ya Focus on Africa, alilazwa kwenye nyumba yake ya milele Jumamosi mchana.

Ifuatayo ni matukio ya safari yake ya mwisho.