Huwezi kusikiliza tena

Ulaya kudhibiti data mtandaoni

Hatua hiyo inajiri baada ya ufichuzi katika shirika la usalama wa kitaifa Marekani NSA, na utazizuia data zisipite katika vituo vya data Marekani.

Taarifa hii na nyinginezo ni katika mkusanyiko wa taarifa za teknolojia wiki hii