Huwezi kusikiliza tena

Onyo kwa wapenzi wa jinsia moja UG

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameidhinisha sheria mpya ya wapenzi wa jinsia moja.

Akitia saini mbele ya waandishi wa habari na mawaziri waliokuwa wanashangilia, amesema masuala ya wapenzi wa jinsia moja yamechochewa na makundi ya mataifa ya magharibi yalio na kiburi.

Wakati huo huo makundi ya kutetea haki za wapenzi hao yameshutumu vikali hatua hiyo ya Rais Museveni.

Ifuayato ni taarifa ya Alli Mutasa kutoka Kampala.