Huwezi kusikiliza tena

Ghadhabu dhidi ya jeshi la Nigeria

Wakazi wa mji mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria wana hasira dhidi ya majeshi ya taifa kwa kuondoa vizuizi barabarani muda mfupi tu kabla ya shambulio la wanamgambo wenye itikadi kali ya kiislamu. Watu ishirini na tisa wameuawa na watu wenye silaha walioingia kwenye shule ya bweni wakaichoma moto na kuwashambulia wanafunzi waliojaribu kutoroka.

Kassim Kayira anaeleza zaidi.