Huwezi kusikiliza tena

Wasomali washirikiana vipi Cardif?

Leo, BBC World Service imeandaa mjadala huko Wales juu ya uhamiaji hapa Uingereza.

Kwa zaidi ya miaka 100, kumekuwa na jumuiya ya wasomali huko Cardiff - Zaidi ya vizazi vinne vinaiona Wales ni nyumbani.

Lakini baada ya kuishi hapo kwa zaidi ya karne, wameshirikiana vipi katika nchi hiyo ngeni kwao. Joan Simba anaarifu zaidi.