Huwezi kusikiliza tena

Piga simu kupitia Whatsapp?

Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye mwaka huu