Huwezi kusikiliza tena

Mifupa inayokupa nguvu ajabu

Je, umewahi tamani nguvu za kimwili za kishujaa? Basi wahandisi nchini Italia wamebuni mifupa ambayo inaweza kumpa mtu nguvu hizo.

Mifupa hiyo ambayo ni ya kuvaliwa hufuata vitendo vya mtu na inaweza kubebe kitu chenye uzito wa kilogramu 50 kwa kila mkono wa chuma.

Kulingana na mfumo uliotumika, mikono hiyo inaweza kukarabatiwa ili kufanya kazi zingine kama za viwandani ama katika shughuli za dharura za uokoaji...Taarifa hii na zaidi kwenye makala ya teknolojia