Huwezi kusikiliza tena

Uhuru wa kupenda na kupendwa

Uhuru wa kupenda ni lugha ya kimataifa na wapendanao hupenda kuitetea kwa dhati. Lakini uhuru huo unakabiliwa na mambo mengi mazito na kuyafanya mazingira ya upendo kuwa magumu kuliko ilivyo.

Hivyo, kupenda kuna historia ndefu kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mfululizo wetu wa makala za uhuru, leo tunaangaza uhuru wa kupenda. Kutoka Kampala, Alli Mutasa, anasimulia.

Uhuru wa kupenda ni taarifa yake Alli Mutasa. Taarifa hiii ni moja mfulurizo wa taarifa kuhusu Uhuru utakazozipata hapa BBC