Huwezi kusikiliza tena

Mafuta yasubiriwa kwa hamu Turkana

Kupatikana kwa mafuta na gesi eneo la Turkana Kaskazini Magharibi mwa Kenya kumetajwa kuwa ufanisi mkubwa.

Wataalam hata hivyo wanasema itachukua miaka kadhaa kabla ya mapipa ya kwanza ya mafuta kuanza kuuzwa.

Lakini Maandamano tayari yameshuhudiwa miongoni mwa wakaazi wa Turkana wanaodai hawajaona matunda ya kugunduliwa mafuta eneo hilo.

Kutoka Turkana Emmanuel Igunza ana mengi zaidi.