Huwezi kusikiliza tena

Utata wagubika bwawa mto Nile

Ujenzi wa bwawa kubwa na kiwanda cha Nishati katika mto Nile umeingia katika mzozo wa kidiplomasia.

Ethiopia inasema bwawa hilo la Grand Renaissance, litazalisha umeme kwa eneo nzima. Lakini Misri inasema mradi huo utatatiza mtiririko wa maji yake.

Emmanuel Igunza anaangazia mzozo huu wa raslimali hii ya maji.