Waislamu wajiunga na shule Burundi

Huko Burundi, wazazi waislamu wamekuwa wakiwapeleka watoto wao kenye madrasa(shule ya dini ya kiislamu ) pekee kufunzwa, dini na lugha ya kiarabu.

Lakini katika siku za hivi punde , wazazi wameanza kuwapeleka watoto wao katika shule zisizo za dini ilinao wapate elimu ya maswala ya dunia .

Wengine wanawapelekea watoto wao katika shule hizo mbili iliwasiwachwe nyuma katika mifumo yote miwili.