Makovu ya mauaji ya kimbari Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Makovu ya mauaji ya Kimbari Rwanda

Imekuwa ni siku yenye hisia nyingi.

Maisha ya watu yamebadilika kutokana na tukio hilo la mauaji ya Kimbari , na kama walivyosema, kamwe hali hiyo isije ikarejelewa.

Kassim Kayira anatazama mtiririko wa matukio ya mauaji ya kimbari yaliyotokea miaka ishirini iliyopita Nchini Rwanda.