Je Kunauhuru wa kujieleza Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Je kuna uhuru wakujieleza Rwanda ?

Huku Rwanda ikiwa imeadhimisha miaka ishirini tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari, kumbukumbu za wiki hii zimeibua upya malengo ya maendeleo nchi hiyo imefanya tangu mwaka 1994.

Rais Paul Kagame amepata sifa nyingi kwenye jumuiya za kimataifa kwa namna anavyodhibiti uchumi wa nchi hiyo.

Lakini kumekuwa na wasiwasi wa namna anavyowashughulikia wapinzani wa kisiasa.

Mwandishi wa BBC Anne Soy anaarifu zaidi kutoka Rwanda