Huwezi kusikiliza tena

Msako wa wasichana 100 Nigeria

Vikosi vya usalama katika jimbo la Borno vinawatafuta wasichana wa shule waliotekwa na watu wanaoshukiwa kua wapiganaji wa Boko Haram.

Inadhaniwa wasichana hao walilazimishwa kutembea kwa miguu msituni.

Walitekwa siku moja tu baada ya watu 71 kuuwawa kwa milipuko miwili kwenye kituo cha mabasi, katika mji mkuu - Abuja. Peter Musembi na maelezo zaidi.