Huwezi kusikiliza tena

Sokwe wanaotunzwa kifalme Kenya

Je Umewahi kupata au kusikia wakimbizi wanaotunzwa kifalme?

Nchini Kenya kuna wakimbizi maalum ambao sio binadamu na hakuna dalili yoyote kuwa wakimbizi hao watawahi kurudi nyumbani.

Mwandishi wetu Robert Kiptoo ametuandalia taarifa hii.