Huwezi kusikiliza tena

Miaka 20 ya uhuru Afrika Kusini

Siku ya Jumapili, Afrika Kusini iliadhimisha miaka 20 tangu nchi hiyo ilipojikomboa kutoka mikononi mwa watawala weupe.

Wakati huo mamilioni ya watu weusi waliweza kupiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi uliokuwa huru na uwazi.

Utawala wa wa ubaguzi wa rangi uliwafanya watu wengi weusi kuwa maskini, ikilinganishwa na wenzao weupe. Sasa maisha yamebadilika kwa raia wengi weusi. Alex Mureithi ana maelezo zaidi.