Huwezi kusikiliza tena

Ziara ya Navi Pillay Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, ukiongozwa na afisa wake mkuu anayehusika na masuala ya haki za binadamu, Navi Pillay, umekuwa mjini Juba, kujionea hali ilivyo nchini Sudan Kusini.

Ziara hiyo ni kufuatia Umoja wa Mataifa awali kuelezea mauaji ya mamia ya raia wa Sudan Kusini hivi karibuni, baada ya kuvamiwa na waasi katika mji wa Bentiu, yalikuwa ni ya kutisha mno.

Emmanuel Igunza ana maelezo zaidi kutoka Bor.