Huwezi kusikiliza tena

Je TZ itatimiza lengo la 5 la milenia?

Haba na Haba inazungumzia huduma ya bure ya afya ya uzazi na kuangalia kama kero zilizokuwepo zimetatulia na pia kuona kama serikali ya Tanzania imetimiza ahadi zake.

Je Tanzania itaweza kufikia lengo la millenia namba 5 la kuhakikisha huduma ya afya ya uzazi imeboreshwa mpaka kufikia mwaka wa 2015?