Huwezi kusikiliza tena

Je Muungano TZ unahitaji mabadiliko?

Maajuzi tu Tanzania iliadhimisha miaka hamsini ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Lakini Muungano huo ambao ni wa aina yake barani Afrika, katika miaka ya hivi karibuni umepata chagizo nyingi za kufanyiwa mabadiliko.

Sherehe za mwaka huu pia zilifanyika wakati Tanzania imo katika mchakato wa kupata katiba mpya.

Mwandishi wetu wa Aboubakar Famau ametuandalia taarifa ifuatayo: