Huwezi kusikiliza tena

Joto la kisiasa nchini Malawi

Joto la uchaguzi mkuu wa Malawi linazidi kupanda huku wananchi wakihofia kutimizwa kwa ahadi wanazopewa na wagombea Urais katika mikutano ya kampeni.

Wamalawi watapiga kura ya kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani wiki ijay.

Baruan Muhuza ametutumia taarifa zaidi kutoka mjini Lilongwe