Huwezi kusikiliza tena

Haki ya kusahaulika na Google

Mahakama ya Muungano wa Ulaya imeiamuru kampuni ya Google kufanya marekebisho ya matokeo ya utafiti wake uliofanywa kufuatia maombi ya watu wa kawaida, katika jaribio muhimu katika kile kinachoitwa "haki ya kusahaulika ".

Mahakama ya EU imesema kuwa ukurasa wake huo ''si wa kuaminika na umepitwa na wakati '' na unapaswa kufutwa kwenye kurasa za maombi ya wasomaji.

Amri hiyo uya mahakama imekuja baada ya raia mmoja wa Uhispania Ikulalamika kuwa alipotafuta jina lake kwenye Google liliambatana na taarifa za zamani za nyumba iliyorejeshwa kwa mwenyewe.