Huwezi kusikiliza tena

Je ufinyanzi umepitwa na wakati?

Utamaduni wa ufinyanzi ni wa karne nyingi zilizopita, lakini kuna baadhi ya nchi zinaendelea kudumisha utamaduni huu na kuongeza mbwembwe za kisasa.

Nchini Sudan baadhi ya watu wanaoendeleza taaluma hii kuwaletea kipato chao cha kila siku wanapata wakati mgumu kutokana na changamoto kali kutoka mataifa ya kigeni yanayoleta bidhaa sawa na wanazofinyanga.

Aisha Yahya ametuandalia taarifa ifuatayo.