Huwezi kusikiliza tena

Mafuriko yakera wakazi Kenya

Bonde la Ufa nchini Kenya ni maarifu kwa mbuga za wanyama, na ndege aina ya Korongo wanaopatikana kwenye mbuga ya ziwa Nakuru.

Lakini Karibu maziwa yote katika mkoa huo wa Bonde la Ufa yamekuwa yanafurika maji, na siyo maji yanayotokana na mvua.

Chanzo cha maji hayo hakijabainika, na yanasababisha uharibifu kwenye mbuga za wanyama, shule na makazi ya watu.

Robert Kiptoo na maelezo zaidi.