Huwezi kusikiliza tena

Sanaa ya vichekesho Uganda

Sanaa ya vichekesho na uchekeshaji imekuwa ikipata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni Afrika Mashariki.

Sanaa hiyo imechochewa zaidi kupitia televisheni, na sasa watu hulipa fedha kwenda kupata burudani ya kucheka katika ukumbi.

Uganda kama nchi nyingine za Afrika mashariki nayo imeshika wimbi hilo kwa kasi.

Lakini wachekeshaji hawa, wanachekesha kweli? Kassim Kayira amefuatilia vicheko hivyo mjini Kampala.