Huwezi kusikiliza tena

Akabiliana na Bhangi shuleni

Huku idadi ya wanafunzi wanaotumia mihadarati nchini kenya na duniani kwa jumla ikiripotiwa kuongezeka ,shule moja mjini Naivasha, Magharibi mwa Nairobi imeamua kutatua tatizo hilo kwa kubuni kemikali maalum.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo amevumbua kemikali inayoweza kutumiwa kuwapima na kuthibitisha kama mwanafunzi anavuta Bangi au la.

La jabu ni kuwa wanafunzi wanaothibitishwa kuvuta Bangi hawapewi adhabu yoyote kama alivyogundua mwandishi wetu Seif Abdalla