Huwezi kusikiliza tena

Vita dhidi ya Tumbaku

Kila tarehe mwezi 31 Mei dunia huadhimisha siku ya kupambana na Tumbaku duniani. Tumbaku huchangia asilimia kumi ya pato la kitaifa la Zimbabawe.

Nchini Malawi huwa ni asilimia 15.

Je vita dhidi ya matumizi ya zao hilo vitawahi kufanikiwa?