Huwezi kusikiliza tena

Nchi gani itatembeza kichapo Brazil?

Msimu wa kombe la dunia ndio huo umeingia.

Peter Musembi, Idd Seif na mchambuzi wa soka Hamisi Kizigo walikuwa katika studio zetu wakikuchambulia kitim tim kitakachoendelea Brazil kwa kipindi cha majuma matano, katika nchi ambayo soka ni kama dini, namna wananchi wanavyoipenda.

Walichambua makundi yote na pia kutabiri timu gani wanadhani itatwaa kombe la dunia wakati huu, fainali itakapochezwa mjini Rio tarehe 13 Julai.

Wewe unadhani ni timu gani itachukua kombe la dunia?