Huwezi kusikiliza tena

Google yanunua Skybox Imaging

Google imetangaza mpango wake wa kununua mitambo ya Skybox Imaging kwa dola bilioni laki 5. Kampuni hiyo hutoa picha za hali ya juu za video pamoja na picha za dunia zinazochukuliwa kwa mitambo yake ya satellite.

Google ilisema kuwa inapanga kutumia data za Skybox kuboresha huduma yake ya ramani, na hatimaye kuimarisha huduma zake za mtandao na kusaidia katika juhudi zake za kupunguza uhalifu.

Taarifa hii na nyinginezo za tekonolojia tazama makala yetu ya teknolojia