Ubakaji kama silaha ya vita, sasa inalengwa kwa wanawake.
Huwezi kusikiliza tena

Ubakaji kama silaha ya vita.

Ubakaji kama silaha ya vita, sasa inalengwa kwa wanawake na ni mojawapo ya uhalifu mkubwa uliotendwa katika karne ya ishirini na moja.

Hii ni kutokana na mkutano wa kimataifa unaofikia kilele leo hii hapa mjini London.

Mkutano uliitishwa na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa ambaye pia ni mcheza sinema Angelina Jolie na waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza William Hague.

Wanajaribu kuzishawishi serikali duniani kuongeza juhudi zinazolenga kuupiga vita ubakaji kwneye maeneo ya vita.

Zuhura yunus anatufahamisha zaidi.