Huwezi kusikiliza tena

Tatizo la ajira kwa watoto migodini TZ

'Wiki Hii katika Haba na Haba tunaangalia tatizo la ajira za watoto migodini.

Tunaangalia jinsi jamii na serikali wanavyoweza kuhakikisha ajira hizi zinakomeshwa.

Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba