Huwezi kusikiliza tena

Paul Pogba anataka kuingiza bao Brazil

Paul Pogba:Mchezaji huyu ambaye ni kiungo cha kati wa Ufaransa, anasema kuwa ndoto yake katika kombe hili la dunia ni kuingiza bao na hatimaye kushinda kombe la dunia