Huwezi kusikiliza tena

Wandishi wa Al Jazeera wafungwa jela

Serikali ya Misri imewahukumu kati ya miaka saba na kumi wandishi wa Al Jazeera kwa tuhuma za kuunga mkono vuguvugu la Muslim Brotherhood pamoja na kutangaza habari za kupotosha.

Jamii ya kimataifa imekea vikali maafisa wa serikali kwa kutoa hukumu hiyo waandishi wa habari ambao kazi yao ni kuhabarisha ulimwengu